Rekodi mpya imewekwa na Golden State Warriors kwa kuwa na ushindi mkubwa bila kufungwa...Golden State waliweka historia hiyo baada ya kuwafunga LA Lakers 111-77 na kuwa timu ambayo imeshinda mechi 16 bila kufungwa...Golden State mwaka huu wamekuwa moto sana na imekuwa timu ambayo inawafunga wenzake kwa wastani wa points 15.6 zaidi...
0 Yorumlar